Usilete Compe
๐ต 2556 characters
โฑ๏ธ 3:53 duration
๐ ID: 4977486
๐ Lyrics
Ladies and gentlemen this is your captain speaking
Thank you for flying Bamboo air
Today we will be flying at an altitude of
Thirthy thousands rhymes per second
So put your seatbelts on and hold on tight
Ati ehh niko club nimekaa bila taabu
Na jamaa ana katia dem wangu kwa sabaabu
Napendanga masilver badala ya dhahabu
Ubaya miwanga najam kama mwarabu
LAkini mi utoa stress na kalamu na spit kwa mic na ina toka tu vitamu
Hii basi ni story ya dem wangu, staki magezetti ziaribu game yangu
Nime kaa nakadem kangu kasupuu
Namroga tu na mastyles zangu za vuduu
Nazilikuwa zinaflow tu kama maji, jama akakuja akamsalimia niaje?
Ati sasa baby, umepotea, imekuwa siku mingi ujatokea
Saa hizo minawish tu angepotea, akanisalimia hi, na akaendelea!
Usilete Compe kwanza kwa demu wangu manze
Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eehn

Sasa misipendangi kukuwa na wivu
Lakini pia heshima uwaga muhimu
Isitoshe akamwomba namba ya simu nikashindwa kwani huyo mse nimwazimu
Ati ehh baby, give me your line, usipotee sana nipigia sometime
Compe ni compe jo safi, mtu aje ajitetee roho safi
Mi sina time ya kujam sangapi
Uwivu uleta vita kama supuu awezi pita
Kabla chali hajamwita, dem ako na majamaa kaa sita
Ka figa lakini kanakuita, hips na thighs ubonga na zina skika
Zingine zina bonga kama spika

Sasa si nikabaki na dem hapo
Saa hizo jama asha rusha game hapo
Ni vile mtu ucheza na brain yako
Nikamwambia wazi jamaa anaclaim vako
Me nikalenga, jamaa akaenda, lakini ni obvious si anampenda
Na keep it real,Nadhani mnanifeel
Ni ngumu kupata dem kwa club na amechill
Siwezi funga mtu kaa police, niki kurelease nakwambia tu peace

Lakini kwanza anipee nafasi nimpatie story yangu kiasi
Mimi sipendi kwanza weekendi Mtu rafiki lakini anapretendi
Watu wanaona ni kama wataniona lakini nimekupima na pia nimekusoma
Skia ngoma, compe ni noma, jamaa anaalika dem wako nyama choma!

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:04.40] Ladies and gentlemen this is your captain speaking
[00:07.48] Thank you for flying Bamboo air
[00:11.35] Today we will be flying at an altitude of
[00:14.19] Thirthy thousands rhymes per second
[00:16.25] So put your seatbelts on and hold on tight
[00:20.63] Ati ehh niko club nimekaa bila taabu
[00:23.23] Na jamaa ana katia dem wangu kwa sabaabu
[00:25.28] Napendanga masilver badala ya dhahabu
[00:27.67] Ubaya miwanga najam kama mwarabu
[00:30.15] LAkini mi utoa stress na kalamu na spit kwa mic na ina toka tu vitamu
[00:34.67] Hii basi ni story ya dem wangu, staki magezetti ziaribu game yangu
[00:39.26] Nime kaa nakadem kangu kasupuu
[00:41.54] Namroga tu na mastyles zangu za vuduu
[00:43.90] Nazilikuwa zinaflow tu kama maji, jama akakuja akamsalimia niaje?
[00:49.37] Ati sasa baby, umepotea, imekuwa siku mingi ujatokea
[00:53.22] Saa hizo minawish tu angepotea, akanisalimia hi, na akaendelea!
[00:57.88] Usilete Compe kwanza kwa demu wangu manze
[01:01.84] Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eehn
[01:06.99] Usilete Compe kwanza kwa demu wangu manze
[01:10.51] Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eehn
[01:15.94] Sasa misipendangi kukuwa na wivu
[01:18.82] Lakini pia heshima uwaga muhimu
[01:20.62] Isitoshe akamwomba namba ya simu nikashindwa kwani huyo mse nimwazimu
[01:25.57] Ati ehh baby, give me your line, usipotee sana nipigia sometime
[01:29.87] Compe ni compe jo safi, mtu aje ajitetee roho safi
[01:34.85] Mi sina time ya kujam sangapi
[01:37.12] Uwivu uleta vita kama supuu awezi pita
[01:41.57] Kabla chali hajamwita, dem ako na majamaa kaa sita
[01:46.93] Ka figa lakini kanakuita, hips na thighs ubonga na zina skika
[01:50.69] Zingine zina bonga kama spika
[01:53.53] Usilete Compe kwanza kwa demu wangu manze
[01:56.73] Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eehn
[02:02.28] Usilete Compe kwanza kwa demu wangu manze
[02:05.89] Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eehn
[02:11.50] Sasa si nikabaki na dem hapo
[02:13.82] Saa hizo jama asha rusha game hapo
[02:16.43] Ni vile mtu ucheza na brain yako
[02:18.72] Nikamwambia wazi jamaa anaclaim vako
[02:20.81] Me nikalenga, jamaa akaenda, lakini ni obvious si anampenda
[02:25.29] Na keep it real,Nadhani mnanifeel
[02:27.76] Ni ngumu kupata dem kwa club na amechill
[02:29.86] Siwezi funga mtu kaa police, niki kurelease nakwambia tu peace
[02:34.44] Compe ni compe jo safi, mtu aje ajitetee roho safi
[02:39.12] Lakini kwanza anipee nafasi nimpatie story yangu kiasi
[02:43.77] Mimi sipendi kwanza weekendi Mtu rafiki lakini anapretendi
[02:48.41] Watu wanaona ni kama wataniona lakini nimekupima na pia nimekusoma
[02:53.02] Skia ngoma, compe ni noma, jamaa anaalika dem wako nyama choma!
[02:57.65] Usilete Compe kwanza kwa demu wangu manze
[03:01.54] Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eehn
[03:06.72] Usilete Compe kwanza kwa demu wangu manze
[03:10.86] Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eehn
[03:15.69] Usilete Compe kwanza kwa demu wangu manze
[03:19.73] Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eehn
[03:25.17] Usilete Compe kwanza kwa demu wangu manze
[03:29.35] Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eehn
[03:52.39]